Gomez atua Fountain Gate | Mwanaspoti
TIMU ya Fountain Gate imekamilisha uhamisho wa aliyekuwa mshambuliaji nyota wa KVZ ya Zanzibar, Seleman Mwalimu ‘Gomez’. Nyota huyo aliyewahi kuzichezea timu mbalimbali ikiwemo FGA Talents inayoshiriki Ligi ya Championship amejiunga na kikosi hicho kwa mkopo ili apate nafasi ya kucheza akitokea Singida Black Stars ambayo imemsajili kwa mkataba wa miaka mitatu. “Ni kweli tumemtoa…