TCU yafungua dirisha udahili masomo elimu ya juu
Dar es Salaam. Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imetangaza kufunguliwa kwa dirisha la kwanza la udahili kuanzia Julai 15 hadi Agosti 10, 2024, ikiwataka wahitimu kuomba moja kwa moja kwenye vyuo wanavyopendelea. Tangazo hilo linawahusu jumla ya wahitimu 111,056 waliofaulu mtihani wa kidato cha sita mwaka 2024 pamoja na wenye stashahada na wengine wenye…