Wafahamu wagombea wawili wanaochuana na Kagame – DW – 15.07.2024
Mgombea wa kwanza ni Frank Habineza, anayewakilisha chama cha Democratic Green Party (DGPR), alipata asilimia 0.48 pekee ya kura mwaka 2017 na kuwa mmoja wa wanasiasa wawili wa chama hicho bungeni. Mwanasiasa huyo mwenye umri wa miaka 47 ni mwanachama wa zamani wa chama tawala cha Kagame cha Rwandan Patriotic Front (RPF), lakini alikihama mwaka…