Takriban Wapalestina 90 wameripotiwa kuuawa katika shambulizi la Israel lililomlenga mkuu wa jeshi la Hamas

Takriban Wapalestina 90 wameripotiwa kuuawa katika shambulizi la Israel dhidi ya kambi ya watu waliokimbia makazi yao kusini mwa Gaza ambayo Israel ilisema ilimlenga mkuu wa kijeshi wa Hamas, ambaye anadaiwa kuwa mpangaji mkuu wa mashambulizi ya Oktoba 7. Kanda za Al-Mawasi, ambalo limeteuliwa kuwa eneo salama kwa Wapalestina wanaokimbia mapigano mahali pengine, zinaonyesha miili…

Read More

Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi iliyopo Mpanda katika muendelezo wa Ziara yake ya kikazi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mkoa wa Katavi Dkt. Serafini Patrice kuhusu maendeleo ya ujenzi wa Hospitali hiyo mara baada ya kuwasili kwenye Hospitali hiyo Mpanda tarehe 14 Julai, 2024.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza…

Read More

Jinsi Kura Inavyoakisi Mtazamo wa Wakulima kuhusu Sera ya Kilimo ya BJP ya India huku kukiwa na Mabadiliko ya Tabianchi – Masuala ya Ulimwenguni

Wakulima huko Kashmir hupanda mazao ya mpunga. Wakulima walipiga kura dhidi ya chama tawala cha BJP kwa sababu ya sera zake zisizopendwa na kukosa kuungwa mkono, kwani hali ya hewa isiyo na uhakika inaathiri maisha yao. Credit: Umer Asif/IPS na Umar Manzoor Shah (Srinagar) Jumatatu, Julai 15, 2024 Inter Press Service SRINAGAR, Julai 15 (IPS)…

Read More

DIWANI RORYA ALIA NA UFISADI TARURA

*ASIMULIA MBELE YA WANANCHI MILIONI 400/-  ZA DARAJA ZILIVYOPIGWA NA WAJANJA, MBUNGE AGUSWA Na MWANDISHI WETU-MARA DIWANI wa Kata Nyathorogo Halmashauri ya Wilaya ya Rorya mkoani Mara, Dalmas Nyagwal, ameweka wazi namna wajanja wachache ndani ya Wakala wa Barabara Mijini na Vijijini (TARURA) wilayani hapa walivyokwamua kiasi cha Shilingi milioni 400 za ujenzi wa Daraja…

Read More

Serikali yalipongeza TAG kwa kuimarisha makuzi ya watoto, vijana

Na Nora Damian, Mtanzania Digital Serikali imelipongeza Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) kwa kujiimarisha kwenye misingi ya makuzi ya vijana na watoto na kulifanya kuwa endelevu. Kanisa hilo limehitimisha sherehe za maadhimisho ya miaka 85 tangu lilipoanzishwa mwaka 1939 na Wamisionari kutoka Marekani. Akizungumza leo Julai 14,2024 wakati wa kilele cha maadhimisho hayo…

Read More