Siri ya PPRA kuibuka mshindi wa kwanza sekta ya udhibiti
Na Nora Damian, Mtanzania Digital Mamlaka ya Kudhibiti Ununuzi wa Umma (PPRA), imesema ushindi walioupata kwenye maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara Dar es Salaam (DITF), maarufu Sabasaba unatokana na kufanya kazi kama timu na kutoa huduma bora kwa kuhudumia wateja zaidi ya 700. Katika maonesho hayo mamlaka hiyo iliibuka mshindi wa kwanza katika…