Manabii wacharuka, wawajibu wanaowasema mitandaoni
Dar es Salaam. Baadhi ya manabii na mitume wamefunguka wakati wa ibada wakijibu watu wanaozungumzia huduma wanazozitoa. Wiki hii kumekuwa na maoni tofauti kwenye mitandao ya kijamii kuhusu huduma zinazotolewa na viongozi hao wa dini zikihusishwa na kujipatia ukwasi mkubwa. Mwananchi pia imeandika mfululizo wa ripoti maalumu kuhusu huduma hizo, zikihusisha utozaji wa fedha ili…