Rais Dkt. Samia Azindua vihenge, Maghala ya kisasa msimu wa ununuzi wa nafaka wa mwaka 2024/2025 Katavi
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua vihenge, maghala ya kisasa na msimu wa ununuzi wa nafaka wa mwaka 2024/2025 katika Mkoa wa Katavi tarehe 14 Julai 2024. Mhe. Rais wakati wa uzinduzi alisisitiza kuwa maghala haya ni kiashiria tosha kuwa kilimo cha sasa kinahitaji kubadilika na kuwa kilimo cha…