Arusha wakiwasha Lina PG Tour
WACHEZAJI wa Gofu wa Jiji la Arusha wameibuka vinara kwa kutwaa tuzo nyingi kwenye raundi ya tatu ya michuano ya Lina PG Tour kwa wa kulipwa na ridhaa. Elisante Lembris na Nuru Mollel walishika nafasi ya kwanza na ya pili mtawalia wakiwaacha wapinzani wao zaidi ya mikwaju 15. “Sikucheza vizuri katika raundi mbili za awali,…