Biashara za Sh3.6 bilioni zafanyika Sabasaba
Dar es Salaam. Masoko mapya tisa ya bidhaa za Tanzania yamepatikana kupitia maonyesho ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam (DITF), wakati biashara ya zaidi ya Sh3.75 bilioni ikifanyika ndani ya siku 16. Miongoni mwa nchi zilizoonyesha nia ya kununua bidhaa hizo ni Afrika Kusini, Uturuki, Saudi Arabia na Malawi. Kufuatia hilo Rais wa…