FBI yachunguza jaribio la mauaji dhidi ya Trump – DW – 14.07.2024
Tukio hilo lilifanyika Jumamosi wakati Trump alipokuwa akifanya mkutano wa hadhara katika jimbo la Pennsylvania. Mtu mmoja alifyatua risasi kadhaa na kumjeruhi sikioni Rais huyo wa zamani wa Marekani. Shirika la upelelezi la Marekani la FBI limesema mwanamume huyo aliyeuwawa mara tu baada ya kufanya shambulio hilo, ametambuliwa kuwa ni kijana Thomas Matthew Crooks mwenye…