MKURUGENZI MKUU NIRC AWATAKA WAKANDARASI KUSAIDIA JAMII MAENEO YA MIRADI – MWANAHARAKATI MZALENDO
MKURUGENZI Mkuu Tume ya Taifa ya Umwagiliji (NIRC), Raymond Mndolwa, amewataka Wakandarasi wanaojenga miundombinu ya umwagiliaji kuhakikisha wanasaidia jamii hususani maeneo yenye miradi. Mndolwa amesema hayo katika ziara ya ukaguzi na ufuatiliaji wa ujenzi wa miradi ya umwagiliaji katika kata ya Mwamkulu wilayani Mpanda mkoani Katavi. Katika ziara hiyo alikagua na kutoa…