TAHADHARI ZA KUCHUKUA MJAMZITO KABLA YA KULA PAPAI KATIKA KIPINDI CHA UJAUZITO – MWANAHARAKATI MZALENDO
Mjamzito anaweza kula Papai katika kipindi chote cha Ujauzito bila kupata Madhara yoyote au Mimba yake kuharibika, endapo atafuata tahadhari husika kabla ya kula Tunda hili la Papai. Kumekuwa na Usemi kwamba Mjamzito haruhusiwi kabisa kula Papai katika Kipindi cha Ujauzito, eti kwa sababu linaweza kusababisha Mimba kuharibika au Kujifungua Mtoto kabla ya…