Samia azindua makao makuu ya Jeshi la Polisi Katavi
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amezindua jengo jipya la Makao Makuu ya Jeshi la Polisi mkoani Katavi lililogharimu Sh1.4 bilioni, huku akiagiza litunzwe ili lidumu. Samia amefungua jengo hilo leo, Jumapili ya Julai 14, 2024 ikiwa ni siku ya pili ya mwendelezo wa ziara yake ya kikazi mkoani humo aliyoianza Julai 12 na…