RAIS SAMIA AITAKA WIZARA YA NISHATI KUHAKIKISHA KATAVI INAPATA UMEME WA GRIDI IFIKAPO SEPTEMBA
Na Mwandishi Wetu, Katavi. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan ameitaka Wizara ya Nishati na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhakikisha mradi wa njia kuu ya kusafirisha umeme kutoka Tabora hadi Katavi (132kV) pamoja na ujenzi wa kituo cha kupokea, kupoza na kusambaza umeme vinakamilika kwa wakati ili Mkoa…