Aliyewahi kuwa kigogo wa CCM Dodoma arejea CUF
Dodoma. Kada na aliyewahi kushika nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Othman Dunga amekihama chama hicho na kwenda Chama cha CUF, akieleza nia yake ya kugombea ubunge wa jimbo la Kondoa Mjini katika uchaguzi wa mkuu wa mwaka 2025. Dunga ni mwenye historia ndefu kisiasa aliyeanzia upinzani kwenye chama cha CUF,…