Beki mpya JKT aota makubwa
BEKI mpya wa JKT Tanzania, Abdulrahim Seif Bausi aliyesajiliwa kutoka Uhamiaji ya Zanzibar, amesema anatambua Ligi Kuu Bara ni ngumu na inahitaji utulivu na kujituma, ili aweze kung’ara msimu ujao. Beki huyo ni mtoto wa kocha wa timu ya taifa ya Zanzibar ‘Zanzibar Heroes’, Seif Bausi, alisema alikuwa anaifuatilia ligi ya Bara, hivyo haoni kama…