Matokeo kidato cha sita 2024 haya hapa

Dar es Salaam. Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2024, leo Jumamosi Julai 13, 2024 katika ofisi za Baraza hilo Zanzibar. Jumla ya watahiniwa 113,504 walifanya mtihani wa kidato cha sita, mwaka huu ambapo ulifanyika kwenye jumla ya shule 931 na vituo vya watahiniwa wa kujitegemea 258. Katibu Mtendaji…

Read More

Yanga, Simba zapewa ubingwa Afrika

Dar es Salaam. Makocha na nyota wa zamani wa soka nchini wamezitabiria makubwa timu za Tanzania Bara zinazoshiriki mashindano ya klabu Afrika msimu ujao huku wakiamini zinaweza kutwaa ubingwa. Katika Ligi ya Mabingwa Afrika, Tanzania itawakilishwa na Yanga na Azam wakati kwenye Kombe la Shirikisho Afrika, wawakilishi ni Simba na Coastal Union. Kwa mujibu wa…

Read More

Majaliwa kuongoza NBC Dodoma Marathon, jezi zazinduliwa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuongoza washiriki zaidi ya 8,000 wa mbio za NBC Dodoma Marathon zitakazofanyika Julai 28, mwaka huu kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, imefahamika. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Hafla ya kumtambulisha mgeni rasmi huyo imefanyika jijini Dar es Salaam jana jioni ambapo pia ilishuhudiwa muandaaji wa mbio hizo Benki ya…

Read More

Teknolojia inavyorahisisha maisha: Leading East Africa Limited yaleta suluhisho la maji safi

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Kadri teknolojia inavyozidi kukua, maisha yanakuwa rahisi zaidi. Sasa, hakuna ugumu tena wa kusafisha maji ya kunywa au matumizi mengine kwa kuyasubiri kwa muda mrefu. Mashine za kisasa zinazoweza kukurahisishia kazi hiyo ndani ya muda mfupi zimekuwa suluhisho bora, na maji yako yanakuwa safi kwa matumizi. Suluhisho hili linapatikana kupitia…

Read More

Alichokisema Sugu kuondoka kwa Msigwa Chadema

Iringa. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Nyasa kimesema kuondoka kwa aliyekuwa mwenyekiti wa kanda hiyo, Mchungaji Peter Simon Mgwa hakuathiri chochote katika chama hicho, kwa sababu chama hicho ni jeshi kubwa la watu wenye uwezo wa kukiongoza. Hayo yamebainishwa Julai 12, 2024 mkoani Iringa na Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa, Joseph…

Read More