Dkt. Samia atembelea Kituo cha Kupokea, Kupoza na kusambaza umeme wa Gridi ya Taifa cha Inyonga Mkoani Katavi
. Taswira ya Miundombinu pamoja na Kituo cha kupoza, kupokea na kusambaza umeme wa Gridi ya Taifa kilichopo Inyonga Mkoani Katavi tarehe 13 Julai, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Taarifa kuhusu Mitambo ya Kituo cha kupokea, kupoza na kusambaza umeme wa Gridi ya Taifa kilichopo Inyonga…