RAIS DK.SAMIA ATASHINDA KWA KURA NYINGI KATIKA UCHAGUZI MKUU-KINANA
Na Mwandishi Wetu MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulrahman Kinana amesema kwa kazi kubwa ambayo imefanywa na Rais Dk.Samia Suluhu Hassan ya kuleta maendeleo nchini ana uhakika katika uchaguzi mkuu mwaka 2025 atashinda kwa kura nyingi. Aidha amesema kazi kubwa iliyofanywa na Chama Cha Mapinduzi katika kusimamia utekelezaji wa Ilani ana…