Faili la Malisa latua Ofisi ya Mashtaka, asubiri kupelekwa mahakamani
Moshi. Mwanaharakati na Mkurugenzi wa GH Foundation, Godlisten Malisa ameendelea kuripoti katika Ofisi za Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Kilimanjaro (RCO) kufuatia tuhuma tatu zinazomkabili huku akieleza kuwa, kwa sasa anasubiri kupelekwa mahakamani. Malisa ameripoti Kituo Kikuu cha Polisi Moshi leo Julai 11, 2024 ikiwa ni mara ya tatu kufanya hivyo baada ya kupewa dhamana…