Dk.Ndumbaro aanza ziara jimboni kutatua kero za wananchi
Na Mwandishi Wetu, Songea Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo na Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini Dk. Damas Ndumbaro ameanza rasmi ziara katika jimbo hilo kusikiliza na kutatua kero za wananchi. Katika ziara hiyo Ndumbaro ameambatana na wataalamu mbalimbali kutoka katika Manispaa ya Songea Mjini ili kusikiliza hoja na kero mbalimbali zinazowakabili wananchi wa…