MAGDALENA: Ondoeni hofu, medali ya Olimpiki ipo!
MWANARIADHA nyota wa Kimataifa wa Tanzania, Magdalena Shauri, ni miongoni mwa Watanzania wanne watakaoenda kushiriki Michezo ya Olimpiki ya Paris, Ufaransa wakibeba mioyo ya wananchi zaidi ya milioni 60. Magdalena anayetokea katika timu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), ataungana na wenzake Jackline Sakilu, Alphonce Simbu na Gabriel Geay, kukata kiu yake ya kushiriki…