SAKHO APEWA ‘THANK YOU’ UFARANSA – MWANAHARAKATI MZALENDO
Klabu ya Quevilly-Rouen Métropole (QRM) imevunja mkataba na winga wa zamani wa Simba SC, Pape Sakho kwa makubaliano ya pande zote mbili. Klabu hiyo ya Ligue 2 ya Ufaransa ilitangaza leo Alhamisi kufikia makubaliano na winga huyo kwa makubaliano ya pande zote, kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamii “Kwa makubaliano ya pande zote na…