WANAHARAKATI WAIPONGEZA SERIKALI KWA MAFANIKIO DIRA YA TAIFA 2025
WANAHARAKATI wa masuala ya Jinsia na Maendeleo wameipongeza Serikali kwa uwajibikaji mkubwa kwenye Dira ya taifa ya miaka 25 iliyopita katika nyanja ya elimu ,afya pamoja na sekta ya habari na mawasiliano. Pongezi hizo zimetolewa leo Julai 10,2024 Mabibo -Jijini Dar es salaam,kwenye semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) zinazofanyika kila jumatano TGNP-Mtandao, Akizungumza wakati…