AI ilivyoleta mageuzi michezo ya Casino Tanzania

Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imeshuhudia mabadiliko makubwa katika sekta ya michezo ya Casino. Mabadiliko haya yamechagizwa hususan na ujumuishaji wa teknolojia za akili bandia za hali ya juu. Kuanzia kuboresha uzoefu wa wateja hadi kuboresha utendaji kazi, akili bandiainajenga upya uga wa burudani ya michezo ya Casino nchini. Kuibuka kwa matumizi ya Akili…

Read More

Ajali ya lori, Toyota Harrier yaua watu watatu

Kilosa. Watu watatu wakiwemo raia wawili wa Burundi wamefariki dunia baada ya lori kugongana na gari ndogo na kisha kuwaka moto. Lori hilo lililokuwa likitokea Dar es Salaam kuelekea Burundi liligongana na Toyota Harrier, kisha kuwaka moto usiku wa kuamkia Julai 9, 2024 eneo la Kwambe barabara kuu ya Morogoro -Dodoma. Miili miwili imepatikana baada…

Read More

TOTAL Energies YAZINDUA MSIMU WA TATU WA PROGRAM YA USALAMA BARABARANI KWA WANAFUNZI ‘VIA ROAD SAFETY’

*Yapongezwa kwa kuunga mkono shughuli za jamii, Elimu yatakiwa kuwa msingi wa usalama barabarani na ulinzi binafsi wa wanafunzi KAMPUNI Ya TotalEnergies Marketing Tanzania imezindua rasmi msimu wa tatu wa programu ya ‘Via Road Safety’ mahususi kwa ajili ya usalama barabarani kwa wanafunzi huku ikielekezwa kuwa elimu hiyo iende sambamba na usalama wao kijinai kwa…

Read More

Gamondi: Yanga inapangika tu | Mwanaspoti

Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi amesema licha ya usajili wa mastaa waliosajiliwa katika timu hiyo, hana hofu ya kupanga kikosi. Gamondi amesema kikosi kitakuwa kinapangwa kulingana na aina ya wapinzani wanaokutana nao. Amesema mbali na wapinzani, pia itategemea na viwango vya wachezaji ili kutumika kwenye michezo husika. “Ugumu wa kupanga timu? Hapana. Hakuna ugumu, timu…

Read More

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mbarali aipongeza TVLA kwa kutoa elimu ya magonjwa ya wanyama

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali, mkoani Mbeya, Missana Kwangura, ameipongeza Wakala ya Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA) kwa kutoa elimu kwa wananchi wanaotembelea Maonesho ya Sabasaba kuhusu uchunguzi wa magonjwa ya wanyama na uchanjaji wa mifugo ili kuwakinga na magonjwa mbalimbali. Kwangura alitoa kauli hiyo Julai 9,…

Read More

Gamondi achekelea Aziz KI kubaki Yanga

Licha ya kutokuwepo kwenye mazoezi ya leo, kocha wa Yanga, Miguel Gamondi amesema kila mtuĀ  ndani ya timu hiyo amefurahishwa na taarifa ya Stephanie Aziz Ki kuendelea kuitumikia timu hiyo. Kauli hiyo ya Gamondi inakuja baada ya saa chache kupita tangu Aziz KI kuthibitisha kwamba ataendelea kusalia ndani ya kikosi hicho. Azizi Ki amerejea nchini…

Read More

Wawili wafariki dunia kwa kunywa dawa ya kuacha pombe

Katavi. Watu wawili wa familia moja wamefariki dunia baada ya kunywa dawa ya kienyeji ili waache kunywa pombe kupindukia. Tukio hilo lilitokea Julai 9, 2024 saa nne usiku katika Mtaa wa Kazima Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi. Akizungumza na Mwananchi Digital, Jastin Patrick mjomba wa marehemu Paulo Mbalimba na Dismas Malimba amesema kutokana na unywaji…

Read More