MKENDA ASISITIZA TAFITI ZA KISAYANSI KUONGEZA TIJA YA UZALISHAJI
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema ni muhimu kufanya utafiti wa kisayansi kusaidia kukwamua changamoto za uzalishaji sekta mbalimbali ikiwemo Elimu na kilimo kuchochea ustawi Endelevu wa maendeleo kiuchumi. Mkenda amesema hayo leo Julai 10, 2024 jijini Dar es Salaam wakati akizungumza katika Ufunguzi wa Mkutano Mkuu unaojadili ushahidi wa matokeo…