WAZIRI UMMY AWASILISHA UJUMBE WA RAIS SAMIA KWA RAIS WA GUINEA
Na WAF – Guinea Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu (Mb) ambae pia ni Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewasilisha ujumbe kwa Rais wa Jamhuri ya Guinea Mhe. General Mamadi Doumbouya uliotoka kwa Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan. Waziri Ummy amewasilisha ujumbe wa Rais Samia leo Julai 10,…