Shule 'zimepigwa mabomu' katika ongezeko la hivi punde la Gaza, anasema mkuu wa UNRWA – Global Issues

“Shule nne ziligonga katika siku nne zilizopita. Tangu vita kuanza, theluthi mbili ya UNRWA shule huko Gaza zimepigwa, zingine zililipuliwa, nyingi zimeharibiwa vibaya,” Alisema Philippe Lazzarini, katika chapisho kwenye X. Katika taarifa iliyotumwa siku ya Jumanne, jeshi la Israel lilisema limekuwa likilenga “miundombinu ya kigaidi na waendeshaji wa kigaidi” katika mji wa Gaza. Chini ya…

Read More

Jeshi la Germany lina utayari kubeba dhamana NATO? – DW – 10.07.2024

NATO ilianzishwa kufanya kazi kama muungano wa kijeshi kujilinda dhidi ya Umoja wa Kisovieti. Ndani ya jeshi hilo, jeshi la Ujerumani Magharibi lilipata mafunzo ya kujilinda dhidi ya mashambulizi kutoka Ujerumani Mashariki. Miongo mitatu baadae, kitisho kinakuja tena kutoka Urusi.  Ilikuwa mwanzoni mwa mwaka 1996, wakati wanajeshi wa Ujerumani wakiwa wamevalia nguo za kivita walipoingia…

Read More

Mmoja kati ya watatu ana shinikizo la juu la damu

Dar es Salaam. Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema theluthi moja ya watu wazima duniani wana shinikizo la juu la damu, sawa na mtu mmoja kati ya watatu. Takwimu hizo za WHO kwa mujibu wa wataalamu, zinawiana na hali ilivyo nchini Tanzania, hivyo wameshauri mambo saba ya kuzingatiwa kuepuka au kukabiliana na tatizo hilo. Miongoni…

Read More

RAIS SAMIA ATETA NA MTENDAJI MKUU WA TAASISI YA BILL  & MELINDA GATES IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Gates Foundation Bw. Mark Suzman yaliyofanyika kwa njia ya mtandao (Video Call) tarehe 10 Julai, 2024. Mazungumzo hayo yalilenga kuimarisha uhusiano baina ya Tanzania na Taasisi hiyo na kujadili maeneo mengine ya ushirikiano ikiwemo…

Read More

Hakimu akwamisha kesi ya uvujishaji mitihani

Dar es Salaam. Kesi ya  kuvujisha Mtihani wa Taifa wa darasa la saba mwaka 2022 inayowakabili mshtakiwa, Patrick Chawawa na wenzake  imeshindwa kuendelea na usikilizwaji  baada ya Hakimu Mkazi Mkuu, Amir Msumi anayendesha shauri hilo kupata uhamisho kwenda Mahakama Kuu Kanda ya Arusha. Wakili wa Serikali, Judith Kihampa ameieleza Mahakama hiyo kuwa shauri hilo lilikuja kwa…

Read More

NYUMA YA PAZIA: Arteta anawamezea mate nyota hawa

LONDON, ENGLAND: Dirisha la usajili limeendelea kunoga Ulaya. Vita ya usajili ni kubwa na kila timu ina rada zake. Arsenal tayari imeshamsajili jumla kipa David Raya baada ya kuidakia kwa mkopo akitokea Brentford. Hata hivyo, kwa sasa Kocha Arteta bado anataka kushusha vyuma vingine ili kuifanya Arsenal kuwa tishio baada ya msimu uliopita kushindwa kubeba…

Read More

Wanne kikaangoni madai ya kubomoa makaburi Tabora

Tabora. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Richard Abwao amesema vijana wanne wanashikiliwa na jeshi hilo wakituhumiwa kuvunja makaburi 19. Tukio la uvunjaji makaburi limetokea Julai 6, 2024 katika Mtaa wa Magubiko uliopo Kata ya Kiloleni, Manispaa ya Tabora. Akizungumza na Mwananchi Digital leo Julai 10, 2024 Kamanda Abwao amesema baada ya msako wanawashikilia watuhumiwa…

Read More

‘Bado Afrika haijawa tayari kuwekeza kwenye mifumo’

Unguja. Wakati mabadiliko ya teknolojia yakiendelea kukua kwa kasi duniani kote, imeelezwa nchi za Afrika bado zinakumbwa na changamoto katika matumizi ya teknolojia hizo. Hayo yamebainika katika mkutano wa kupanga mikakati ya kwenda kidigitali kisiwani Zanzibar. Akizungumza katika mkutao huo uliofanyika hivi karibuni, Mkurugenzi Kampuni ya Ukaguzi wa Hesabu, Ushauri wa Kodi na Biashara (BDO)…

Read More