Watanzania Wahimizwa Kuchukua Hatua za Kuzuia Magonjwa ya Zuonotiki katika Siku ya Maadhimisho ya Magonjwa ya Zuonotiki Duniani
Serikali ya Tanzania, kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu na Wizara ya Mifugo na Uvuvi, ikishirikiana na Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID) kupitia mradi wa Breakthrough ACTION, wameungana na mataifa mengine katika kuadhimisha Siku ya Magonjwa ya Zuonotiki Duniani, ikitumia fursa hii kuwahamasisha Watanzania kuhusu magonjwa ya zuonotiki, yaani magonjwa yanayoambukizwa kutoka kwa…