Madereva 25 kuchuana Tanga | Mwanaspoti
IDADI ya madereva na waongozaji inatarajiwa kuongezeka maradufu na kufikia 25 wakati mpango wa kuwashirikisha madereva zaidi kutoka Kenya ukiendelea kabla ya mbio hizo kutimua vumbi mkoani Tanga, Julai 21, mwaka huu. Kwa mujibu wa waandaaji wa mbio hizo, Mount Usambara Club, awali ni madereva 15 pekee walithibitisha kushiriki mbio hizo, lakini idadi hiyo sasa…