Israel yafanya mashambulizi makubwa kuwalenga Hamas Gaza – DW – 10.07.2024
Jeshi la Israel pia limesema linachunguza shambulio la jana ambalo duru za hospitali zilisema watu wasiopungua 29 waliuawa katika shule mjini Khan Younis, la nne kulenga majengo ya shule katika muda wa siku nne. Mapema leo Jumatano, watu wanne wameuawa na mmoja kujeruhiwa vibaya katika shambulio la bomu lililolenga nyumba katikati mwa mji wa Nuseirat,…