Balozi Mette aaga rasmi, Makamba azungumzia mchango wake
Dar es Salaam. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amemuaga Balozi wa Denmark nchini Tanzania, Mette Norgaard Dissing Spandet baada ya kumaliza muda wake wa kuhudumu hapa nchini. Waziri Makamba amempongeza Balozi Mette jana Jumanne Julai 9 2024 jijini Dar es Salaam katika ofisi ndogo za wizara hiyo, kwa…