USAWA WA KIJINSIA NI CHACHU YA MAENDELEO YA TAIFA – DKT. MZURI
Na WMJWMM-Dar es salaam. Mjumbe wa Kamati ya Kitaifa ya Ushauri kuhusu utekelezaji wa Programu ya Kizazi chenye Usawa (GEF) Dkt. Mzuri Issa amesema uwezashaji kwa wanawake kielimu na kiuchumi ndiyo madaraja pekee ya kufikia usawa wa Kijinsia nchini. Ameyasema hayo katika ziara ya Kamati hiyo yenye lengo la kutambua utekelezaji wa Programu na jitihada…