TBS YASHIRIKI MAONESHO YA SABASABA, YATOA ELIMU KUHUSU MASUALA YA UBORA WA BIDHAA
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea kutoa huduma kwa wajasiriamali ,wafanyabiashara na wadau mbalimbali wa Viwango katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam Sabasaba ambapo wamekuwa wakiwapa taarifa ya huduma ambazo wanazitoa ikiwemo uandaaji wa viwango,usajili wa bidhaa na majengo ya vyakula na vipodozi. Akizungumza na Waandishi…