Prof. Mkenda Ajadili na KTI Namna ya Kuwezesha Ujuzi kwa Vijana ili Wajiajiri – MWANAHARAKATI MZALENDO
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda Julai 09, 2024 amekutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya King’s Trust International (KTI) Kusini mwa Jangwa la Sahara Bw. Andre Harriman kujadili namna ya kuwezesha ujuzi kwa Vijana ili wajiajiri na kuajiriwa. Katika majadiliano hayo Prof. Mkenda amesema kutokana na maendeleo na mabadiliko ya teknolojia,…