Waumini wanavyolizwa fedha kanisani | Mwananchi

Dar es Salaam. Kama ilivyo katika mataifa mbalimbali Afrika, nchini Tanzania, aina mpya ya viongozi wa dini inajitokeza, ikitumia mtaji wa watu maskini kujikusanyia mali. ‘Manabii’ hawa wa kisasa wameigeuza imani kuwa biashara yenye faida kubwa, wakitumia udhaifu wa wafuasi wao kujipatia mamilioni ya fedha. Uchunguzi wa Mwananchi umebaini licha ya ‘manabii’ na ‘mitume’ hawa kuwa…

Read More

Dili jipya la Lawi hadharani

Wakati Simba ikiondoka nchini juzi kwenda Misri kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao bila Lameck Lawi, taarifa ikufike nyota huyo wa Coastal Union yupo zake bize akipambana kukamilisha safari yake ya kwenda Ubelgiji. Beki huyo juzi alionwa na Mwanaspoti akiingia na kutoka katika ubalozi wa Ubelgiji na alithibitisha kuwa ana mipango ya kwenda nchini…

Read More

Ishu ya Aziz KI, Yanga.. yamuibua Gamondi

MASHABIKI wa Yanga wamepata presha ya ghafla wakati wenzao wa Simba wanacheka, huku wakiomba dua mbaya kiungo Stephanie Aziz KI aondoke Jangwani, lakini kocha wa timu hiyo, Miguel Gamondi ameibuka akisema “nimkute Avic haraka”. Hilo limekuja baada ya Rais wa Yanga, injinia Hersi Said akiwa nchini Afrika Kusini kuviambia vyombo vya habari hatma ya Aziz…

Read More

Wananchi wa Gaza wanakabiliwa na hospitali zilizofungwa, utapiamlo na hatari za joto, aonya shirika la afya la Umoja wa Mataifa – Global Issues

Akizungumza na waandishi wa habari mjini Geneva, Shirika la Afya Duniani la Umoja wa Mataifa (WHO) msemaji Tarik Jasarevic alisema kuwa kulingana na mamlaka ya afya ya enclave, watu 34 wamekufa kwa utapiamlo na upungufu wa maji mwilini huku kukiwa na mashambulizi ya Israel, yaliyosababishwa na mashambulizi ya kigaidi yanayoongozwa na Hamas tarehe 7 Oktoba….

Read More

Urali wa biashara Tanzania, Misri kuimarika

Na Nora Damian, Mtanzania Digital Kiwango cha biashara kati ya Tanzania na Misri kinatarajiwa kuongezeka kutokana na kuwapo kwa jitihada za za kuzalisha zaidi na kutumia fursa ya biashara kati ya nchi hizo. Akizungumza leo Julai 9,2024 wakati wa kongamano la biashara ikiwa ni siku maalumu ya Misri katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya…

Read More

Kuzuiliwa kiholela na kutokujali kumeenea nchini Libya, inaonya Türk ya UN – Masuala ya Ulimwenguni

“Usafirishaji haramu wa binadamu, utesaji, kazi ya kulazimishwa, unyang'anyi, njaa katika hali zisizovumilika za kizuizini” “hufanywa kwa kiwango kikubwa…bila kuadhibiwa”, Kamishna Mkuu wa Haki za Kibinadamu aliambia Nchi Wanachama. “Ufukuzaji wa watu wengi, uuzaji wa binadamu, ikiwa ni pamoja na watoto” umeenea nchini Libya, Bwana Türk aliendelea, akisisitiza kwamba ushirikiano kati ya serikali na mashirika…

Read More

KTO, TaTEDO WATOA MAFUNZO YA UTENGENEZAJI MAJIKO SANIFU KWA WAKUFUNZI VYUO VYA MAENDELEO YA WANANCHI (FDC’s)

Washiriki waishukuru KTO kwa kuwezesha mafunzo hayo, waahidi kupeleka maarifa hayo kwa jamii MAFUNZO Maalum ya utengenezaji majiko sanifu ya kupikia kwa kutumia kuni chache na gharama nafuu yanatarajiwa kuwaanufaisha wananchi kupitia wakufunzi wa ufundi kutoka vyuo vya Maendeleo ya Wananchi (FDC’s) ambao wamepewa mafunzo hayo na Taasisi za Huduma za Nishati Endelevu (TaTEDO) na…

Read More