Shahidi aieleza mahakama Alex Msama alivyomwachia eneo
Dar es Salaam. Raymond Shao ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni jinsi mfanyabiashara Alex Msama alivyomwambia amuachie eneo liliopo Mbezi Beach ili amlipe fidia ya mali ikiwemo nyumba mbili pamoja na fidia ya mali Sh100 milioni. Inadaiwa kati ya Aprili hadi Oktoba 2016, jijini Dar es Salaam mshtakiwa Alex Msama aligushi hati yenye namba D/KN/13504/3/TMM…