TETESI ZA USAJILI BONGO: Lomalisa Mutambala kutimkia Linafoot
KLABU ya Linafoot ya Congo ipo kwenye mazungumzo na beki wa zamani wa Yanga, Joyce Lomalisa baada ya kumaliza mkataba na wananchi hao. Mazungumzo baina ya Lomalisa na Linafoot bado yanaendelea na kama mambo yatakwenda sawa anaweza kujiunga nao ingawa awali alikuwa akihusishwa na klabu mbalimbali nchini ikiwemo Namungo na Simba na FC Lupopo ya…