Huu ndio msimu mpya wa CRDB Marathon, Mkurugenzi Mtendaji afunguka haya
Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Bank Group, Abdulmajid Nsekela ambaye ndiye Jenerali wa Jeshi la Kusambaza Tabasamu (JLKT) la CRDB Bank Marathon amekabidhi bendera maalum ya jeshi hili ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa msimu wa tano mbio hizo na kukabidhi mamlaka kwa Jeshi letu la JKLT kusambaza tabasamu Tanzania, Burundi na DRC. Malengo msimu wa…