Hamilton mzuka tu langalanga | Mwanaspoti
HAIKUWA rahisi dereva Lewis Hamilton kuamini ameshinda mbio za magari duniani baada ya miaka miwili na nusu, tangu mara ya mwisho aliposhinda mwishoni mwa mwaka 2021. Hamilton, bingwa mara Saba wa mbio za magari duniani (formula one) alimaliza ukame wa mbio 56 bila ushindi, akishinda za wikiendi iliyopita Uingereza na akiweka rekodi mpya ya kuwa…