Kikwete aliiba kura 2010, nilimnyang’anya mic…

ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa amekumbushia machungu ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 na kusisitiza kuwa anaamini alishinda uchaguzi huo katika nafasi ya rais lakini aliyekuwa mgombea wa CCM, Rais Jakaya Kikwete alimuibia kura. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Dk. Slaa ambaye pia aliwahi kuhudumu nafasi ya balozi wa Tanzania nchini Sweden…

Read More

Ant Man amzingua LeBron | Mwanaspoti

SUPASTAA wa Ligi ya Kikapu Marekani (NBA), Anthony Edwards ‘Ant Man’ ametoa kali ya kushtua kuelekea michuano ya Olimpiki nchini Ufaransa mwishoni mwa mwezi huu, akidai ndiye nyota wa kutumainiwa kwa timu ya Taifa ya mchezo huo huko Marekani kwenye michuano hiyo. Ant Man alikuwa na msimu bora sana uliopita akiwa na Minnesota Timberwolves iliyoishia…

Read More

Takukuru yawapa neno vijana, kina mama kurubuniwa na wagombea

Dar es Salaam. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imewataka vijana na kina mama kushiriki katika kudhibiti na kupambana na rushwa kwa kutoa taarifa pindi wagombea wanapowashawishi wawachaguliwe kwa kutoa rushwa. Akizungumzia leo Jumanne, Julai 9,2024 kuhusu udhibiti wa vitendo vya rushwa kwenye uchaguzi katika Kipindi cha Elimu Jamii cha Redio Maria kutoka…

Read More

Dk. Slaa atamani kumchapa mboko Samia

MWANASIASA mkongwe nchini Dk. Wilbroad Slaa amesema angekuwa na uwezo angemchapa fimbo Rais Samia Suluhu Hassan kwa sababu wakati nchi nzima ikiwa imetapaa ya mabango yenye ujumbe ‘mama anaupiga’, kuna wanafunzi wamepangiwa kwenda shule shikizi Monduli ambayo haijapauliwa. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea) Shule hizo shikizi za sekondari ambazo ni maalumu kwa wanafunzi wa kike…

Read More