UN yapinga wapalestina kuhamishwa Gaza – DW – 09.07.2024
Israel imetanua onyo lake kwa maeneo mengine mengi ya Ukanda wa Gaza, ikitaka wakazi wa maeneo hayo kuondoka mara moja ili iendelee na operesheni yake ya kuwaangamiza wanamgambo wa Hamas. Tangu tarehe 27 Juni, Israel imetoa amri tatu za Wapalestina kuondoka katika mji wa Gaza na katika eneo la kusini la mji huo. Tayari shirika…