Watanzania waaswa kuunga mkono juhudi za REA
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Watanzania wameaswa kuendelea kuunga mkono juhudi za Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kuchangamkia fursa mbalimbali za nishati zinazotolewa, ikiwemo fursa ya mkopo nafuu wa uwezeshaji wa ujenzi na uendeshaji wa vituo vidogo vya mafuta (petroli na dizeli) vijijini. Hayo yamebainishwa, Julai 8, 2024, na Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati…