Rwanda yafahamu nia ya Uingereza juu ya mpango wa uhamiaji – DW – 09.07.2024
Katika taarifa, msemaji wa serikali ya Rwanda Yolande Makolo, amesema Rwanda inazingatia nia ya serikali ya Uingereza kusitisha Mkataba wa Ushirikiano wa Uhamiaji na Maendeleo ya Kiuchumi, uliopitishwa na mabunge ya nchi hizo mbili. Soma pia:Serikali ya Starmer yaanza kazi kwa kufuta mpango wa uhamiaji wa mtangulizi wake Rishi Sunak Taarifa hiyo pia imesema ushirikiano…