Ndejembi:OSHA na BRELA wekeni mifumo ya kusomana
*Mtendaji Mkuu OSHA abainisha Mipango mikakati ya utoaji huduma kwa wananchi na wawekezaji Na Chalila Kibuda,Michuzi TV Serikali imesema kuwa Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) kushirikiana na Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA)ili mifumo yao isomane waweze kutambua kampuni na wawekezaji ambao wamekuja nchini ili waweze kuwatambua na kuwafikia…