TET YAINGIA MAKUBALIANO NA SHIRIKA LA EDUCATE KUTOA MAFUNZO KWA WALIMU WA MASOMO YA BIASHARA
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV TAASISI ya Elimu Tanzania (TET) imeingia makubaliano ya Ushirikiano na Shirika lisilo la Kiserikali la ‘Educate’, katika kuimarisha utoaji wa mafunzo endelevu kwa walimu mashuleni hasa katika somo la biashara na kuwawezesha kufundisha somo hilo kwa kutumia mbinu za kisasa na kuwa na maarifa yanayoendana na wakati katika ufundishaji. Akizungumza…