DAWASA yatekeleza agizo la waziri ndani ya siku 3
KAIMU Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), Mhandisi Mkama Bwire amesema mamlaka hiyo imeanza utekelezaji wa agizo la Waziri wa Maji, Jumaa Aweso la kufanya maunganisho ya majisafi kwa wananchi wa maeneo ya Kigamboni kwa kutoa vifaa vya maunganisho ya majisafi. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Amesema…