Mwalimu matatani akidaiwa kumjeruhi mwanafunzi, chanzo kukataa somo la fizikia
Muleba. Jeshi la Polisi, Wilaya ya Mubela, Mkoa wa Kagera linamshikilia Mkuu wa Shule ya Sekondari Kiteme, Charles Mukaluka kwa tuhuma za kumchapa viboko mwanafunzi wake, Filneth Augustine (18) hadi kumsababishia majeraha mwilini baada ya kukataa kusoma somo la fikizia. Mwanafunzi huyo wa kidato cha tatu kwa sasa amelazwa hospitalini kwa siku nne tangu Julai…