Polisi yamsaka mzazi anayedaiwa kumuozesha mtoto kwa ng’ombe 22
Tabora. Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha ametangaza msako mkali wa mzazi anayedaiwa kumuozesha mtoto wake wa kumzaa anayesoma darasa la nne kwa mahari ya ng’ombe 22. Mzazi huyo anadaiwa kuchukua ng’ombe 22 kama sehemu ya mahari ya mtoto wake huyo anayesoma katika moja ya shule za msingi wilayani Uyui, ili aozeshwe. Akizungumza na…