Mchezo wa soka watumika kuhamasisha vijana kujitokeza na kushiriki kwenye uchaguzi
Ili kufikia malengo ya uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Mwezi October mwaka huu 2024,wadau wa michezo mkoani Njombe wameanza kutumia michezo ikiwemo mpira wa miguu kuhamasisha wananchi hususani vijana kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura na kushiriki uchaguzi. Mpete Diwani Cup ni moja ya ligi iliyozinduliwa mkoani Njombe ambapo mashindano haya yanasimamiwa na…